Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 624
- 548
Ok kusema ukweli mimi sio mtu wa kusoma vitabu, na niliponunua kitabu chako mwezi mmoja uliopita sijakisoma mpaka leo kutokana na mimi mwenyewe sio msomaji wa vitabu. Ila kwa DVD utakuwa umenipa nafuu sana ya moyo wangu. Inacheza katika DVD players za kawaida za nyumbani?
Mkuu naona thread yako umeipost past midnight, kama huko serious ungekuwa mtandaoni kujibu masuala ya potential customers!!By the way, nakaribisha comments zote zitakazonikosoa ili zizijibu, maana kuna watu wanaamua kutumia internet kuchafua wenzao na kukosoa vitu vinavyosaidia watu wengi katika jamii zetu za Kitanzania. Sijui kuhusu nyie, ila mimi naamini kuwa kilimo hakitakiwi kuwa expensive (gharama kubwa). Na naamini kuwa asilimia 80 ya watz wanategemea kilimo, si baba yako, binamu, shangazi, bibi au bau lazima mmoja au waili au watatu wanategemea kilimo, hivyo kwa anayeamua kunikosoa unakaribishwa kwa mikono miwili na weka hoja zako hapa, bila matusi ndio watz tulivyolelewa.
Mkuu nakutakia kila la kheri na utafanikiwa sana, maanake unaonekana huna HULKA ya kutaka ku-ripoff Watanzania wenzako ambao ni ignorant katika nyanja za horticulture - binafsi nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini utengenezaji/erecting a structure ya a GreenHouse imu-cost an arm and leg Mtanzania mlala hoi mpaka imuchukue an eternity to break even!!
Tatizo la Watanzania tulio wengi hatupendi kusoma vitabu au kutumia mtandao kimamilifu kwa manufaa yetu, mambo mengi ya kusaidia wanadamu kiuchumi yanapatikana 4 free kwenye mtandao, wapo wanadamu wengi kwenye mtandao wenye ujuzi na moyo kama wa kwako wa kuwasaidia/fundisha kwa vitendo masuala ya kilimo, kiufundi nk bila gharama yoyote au wanatoza fee kidogo tu - lakini wanakueleza in details nini cha kufanya - hawafichi fichi KITU!!
Once again, nakutakia kila la kheri katika harakati zako za kuwakomboa walala hoi wenzako, naona na shamba la mjomba wako la huko Mlandizi Kibaha litagehuka HEKALU la kuhiji kwa Watanzania tulio wengi tutahitaji handon experience ya nyanja za horticulture kutoka shambani kwake, jitayarisheni kujenga mahema ya wageni. Mungu akulinde MKUU.
Hizo gharama zinakava nini? na je wewe ndio unaekuja kujenga?
Uzuri wa hii DVD inakufundisha jinsi greenhouse inavyojengwa kuanzia mwanzo mwisho. Hivyo si lazima mimi ndio nije kukujengea. Unatumia vijana wako tu kwa kuwapa maelekezo. Ni rahisi.
Gharama ya kujenga greenhouse hii ina cover vifaa kama insect netting material, Polythelin, Barb wire, umwagiliaji (hapa tunatumia teknolojia ya bei rahisi) na kadhalika.
Teknolojia gani tena hiyo ya umwagiliaji?
Mkuu hapo ndio umefunika kweli kweli, utavuna/pata wateja wengi - hata nikisoma majibu yako unaonekana huko sincere kweli kweli!!! Now what's the catch - simple! Ni PR yako tu - yaani ukisha sema kwamba sio lazima wewe uje kuwajengea wateja G.H, basi hapo watu wenye akili zao wanajua kumbe jamaa huyu si mbinafsi ana nia thabiti ya kuwasaidia wenzake, nikwambie kitu? Uwazi wako huo utawatia hamasa wateja wakupe na kazi ya kuwajengea GreenHouse. Bravo Biashara 2K.Uzuri wa hii DVD inakufundisha jinsi greenhouse inavyojengwa kuanzia mwanzo mwisho. Hivyo si lazima mimi ndio nije kukujengea. Unatumia vijana wako tu kwa kuwapa maelekezo. Ni rahisi. Gharama ya kujenga greenhouse hii ina cover vifaa kama insect netting material, Polythelin, Barb wire, umwagiliaji (hapa tunatumia teknolojia ya bei rahisi) na kadhalika.
Mkuu nadhani Biashara kajieleza vizuri, amesema ni teknolojia isiyo tumia gharama nyingi kuinunua - teknolojia za umwagiliaji ziko lukuki lakini zote zina serve the same useful purpose namely kumwagilia mimea hisikahuke.Teknolojia gani tena hiyo ya umwagiliaji?
Mkuu nadhani Biashara2K kajieleza vizuri, amesema ni teknolojia hisiyo tumia gharama nyingi kuinunua - teknolojia za umwagiliaji ziko lukuki lakini zote zina serve the same useful purpose namely kumwagilia mimea hisikahuke.
Ni kweli mkuu, tatizo letu waswahili tu wavivu hatuko innovative - mara zote tunafikiria kwamba Wazungu na watu wa ASIA ndio wenye uwezo mkubwa kiakili, mindsets zetu za ajabu sana!! Just imagine chupa za plastic za Mineral water zimatapakaa karibu kila kaya, kama huna unaweza kuokota barabarani tu, ni watu wachache wanaojua unaweza kuziwekea syringe (sindano za hospitalini) za kawaida ukazijaza maji na kuzitumia kwenye drip irrigation!!!Katika njia inayofundishwa katika DVD hii inatumia malighafi/material unazotumia/ulizonazo nyumbani, tena ni vitu ambavyo umeshavitumia sasa badala ya kuvitupa, una vi reuse yaani unavitumia tena hivyo unaweza usitumie drip pipes za umwagiliaji kama uwezo wako wa kifedha ni mdogo, ushahidi ukionekana humu JF watu ni wananchi wa kipato cha chini.
Ni kweli mkuu, tatizo letu waswahili tu wavivu hatuko innovative - mara zote tunafikiria kwamba Wazungu na watu wa ASIA ndio wenye uwezo mkubwa kiakili, mindsets zetu za ajabu sana!! Just imagine chupa za plastic za Mineral water zimatapakaa karibu kila kaya, kama huna unaweza kuokota barabarani tu, ni watu wachache wanaojua unaweza kuziwekea syringe (sindano za hospitalini) za kawaida ukazijaza maji na kuzitumia kwenye drip irrigation!!!
Syringe za nini tena? huoni kwamba unaongeza gharama?. Sisi tunatumia teknolojia isiyo na gharama kabisa.
Syringe za nini tena? huoni kwamba unaongeza gharama?. Sisi tunatumia teknolojia isiyo na gharama kabisa.