Greenhouse inauzwa

QUEENBM

Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
70
Reaction score
25
Greenhouse yenye ukubwa wa sqm 80 iliyopo tegeta wazo inauzwa.
Bado ni mpya na ina uwezo wa kitumika kwa zaidi ya miaka mitano mbele. Ipo na facilities zote hasa maji.
Inafaa kwa kilimo chochote kile cha mbogamboga kama nyanya, hoho n.k
Bei yake ni Tshs 4million.
Karibu PM kama unatamani kuwa na taarifa zaidi.
 
[emoji15]duuh,!!! Wanapewa kipaumbele wakulima[emoji15]na mikopo[emoji15]
We unauza[emoji15]
Ukiiskia Wali Mchuzi Juu ndio Awamu hii sasa[emoji3]
 
Ila mkuu ungekomaa tuu mil.4 ingetokea hapo hapo,
 
Sqm 80 mkuu ,una uhakika?
 
Hiyo ni net house...

Unauza pamoja na eneo au maana material yake ni wooden...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…