Sidhani kama kuna haja ya kubishana nilichokiandika nina uhakika nacho mpaka visa ulikuwa unalipia labda mwaka huu wamebadili kwa wale waliobahatika kupata greencard miaka miwili au mitatu ya nyuma watanisaidia.
Mhhh! ulishawahi kushinda nini Mkuu Ritz au ni mtu wako wa karibu aliwahi kubahatika? Kila la heri kwa waliobahatika muanze kududulinza vijisenti vya kuanzia maisha.
When i said ulaya i meant nchi za nje.. Marekani europe kote ni ulaya.. Greencard ya nini tulieni bongo.. Wenzio wamarekani wanakimbia huko wanakuja kula nchi yetu hapa