Wadau.,
Wale waliojaza form za kuomba green card matokeo ya round ya kwanza yametoka!
all the best
Jipangeni sasa kwa ajili ya kupima afya zenu, Moyo, HIV, Macho, na magonjwa mengine kama mpo Tanzania kuna Hosptali yao ambayo wanaikubali ipo msasani namanga lazima uwe na $800 macho wanapima pale shoprite.
Mhhh! ulishawahi kushinda nini Mkuu Ritz au ni mtu wako wa karibu aliwahi kubahatika? Kila la heri kwa waliobahatika muanze kududulinza vijisenti vya kuanzia maisha.
Jipangeni sasa kwa ajili ya kupima afya zenu, Moyo, HIV, Macho, na magonjwa mengine kama mpo Tanzania kuna Hosptali yao ambayo wanaikubali ipo msasani namanga lazima uwe na $800 macho wanapima pale shoprite.
Nan kasema 800$! Io hosptal kwel ipo namanga apo best byte..bt co 800$...sh.laki 3 za ktanzania tu! Visa fees mwaka hu ni $350..new reducd fiiz,tofaut na miaka mingne ya nyuma ilikua 800,nadhan umechanganya na io medico!
Jipangeni sasa kwa ajili ya kupima afya zenu, Moyo, HIV, Macho, na magonjwa mengine kama mpo Tanzania kuna Hosptali yao ambayo wanaikubali ipo msasani namanga lazima uwe na $800 macho wanapima pale shoprite.
Umekalili mkuu!!! Hospital moja ipo namanga ndio nini?
Hivi bado mna ndoto za kuishi ulaya??!!
Hivi bado mna ndoto za kuishi ulaya??!!
Mkuu ebu tufahamishe kumbe unaweza kushinda US Greencard halafu ukaenda kuishi Ulaya.
Ebu nisome vizuri sio kuropoka tu hayo maneno ni yako...mie nimeandika kuna hospital ipo msasani namanga kwa mtu anaeijua Dar anaelewea Msasani Namaga ni wapi.
Halafu sio kukalili ni kukariri.
Toa jibu moja hospital flan sio umesikia maneno ya vijiweni then unakuja kutuambia hospital flan ipo msasani acha ujuaji mkuu,hospital inaitwa Primary care ipo Best bite acha kukurupuka na sio kwamba unatoa 800$ ya hospital,na pia medical exermination fee ni kama 660,000/=,kama haujui uliza na unabaki tu kukosoa herufi utaishia hvyo hvyo na maneno yako ya vijiweni.....Primary care ipo msasani??? Best bite ndio msasani??
Ni Premier Care mkuu not Primary..

Yale yaleeeeeeee!