hapo bado mbona,nilishawah toka nalo dar saa kumi na mbil asubuh nikafka mwanza kesho yake saa kumi na mbil asubuh nliapa ctajarb tena kupandaWana jamvi leo nimesafili na basi la Green star express kutoka Mwanza kwenda Dar imeharibika hapa njia panda kwenda Isaka (Tinde) hakuna msaada wowote wala wenye gari hawana ushirikiano na sisi abilia sasa ni tabu tupu hata hatuelewi tunafanyaje
My take: haya magari nilisikia ni ya bb kiroboto sasa wanasema mkurugenzi hapokei simu hebu tusaidieni mwenye contact za owner wa basi hili pls
Kabla hajafanya booking muwe mnauliza kwana.
Wakati yanaingia ndio yalikuwa bab kubwa. sasa hivi ni spana mkononi.Mbona nasikia hayo ndio mabasi bab kubwa ya njia ya mwanza-dar.. Na nauli zake yanamzidi fast jet maradufu
Pole sna, lakin mbna
mwnza 2 dar kuna gari nyingi tu na za uhakika kwa usfirishaji wa abiria,
Green star zishakongoroka ni rangi tu yan heri uwashe baja yako utawahi
kufika na salama!
ni usafiri upi unatamba kwa sasa kwa njia hiyo!Wakati yanaingia ndio yalikuwa bab kubwa. sasa hivi ni spana mkononi.
Ndibalema yaliingia lini yakiwa mapya? mpaka leo sijamsikia mmiliki wake ila kamtu33 mmengewauliza yale mabasi ya kampuni ya Scandinavia yalienda wapi maana yalikuwa mengi, usikute Green Star aliyachukua au alibadili rangi tu, 2hand ni kazi sanaWakati yanaingia ndio yalikuwa bab kubwa. sasa hivi ni spana mkononi.
Yaliingia mwaka 2011 na yalikuwa mapya ila kama unavyojua Youtong ni mabasi yanayotengenezwa China tena kwa kulenga soko la Afrika hivyo ubora wake hupolomoka mapema sana.