Green star bus Dar - Mwanza

Green star bus Dar - Mwanza

ze encyclopedia

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
316
Reaction score
180
Bas hizi zimepoteza hadh yake. nimepanda leo mza naenda dar, yaliyojiri sasa
1. abiria wamegonganishwa siti, mzozo umezuka hadi mmoja kaamua akae . kwenye bonet.
2. gari inachemsha, imebidi wafungue . show ya mbele ili lipoe
3. kuna abiria mwingine kasimama na . wawili wamekaa kwenye bonet.
YAANI FUJO TUPU. HIZI GARI NO LONGER A LUXURY BUS.ZIMECHOKA BINAFSI SIRUDII TENA KUPANDA BAS HIZI TENA KWA BEI KUBWA VILE
 
Subiri mkaribie Moro lazima iharibike kifupi wamechemsha watafute bishara nyingine tu!
 
Bas hizi zimepoteza hadh yake. nimepanda leo mza naenda dar, yaliyojiri sasa
1. abiria wamegonganishwa siti, mzozo umezuka hadi mmoja kaamua akae . kwenye bonet.
2. gari inachemsha, imebidi wafungue . show ya mbele ili lipoe
3. kuna abiria mwingine kasimama na . wawili wamekaa kwenye bonet.
YAANI FUJO TUPU. HIZI GARI NO LONGER A LUXURY BUS.ZIMECHOKA BINAFSI SIRUDII TENA KUPANDA BAS HIZI TENA KWA BEI KUBWA VILE

Pole wakwetu
 
Hujautendea haki mwili wako. Fast jet. Kwenda kurudi kila kitu namaanisha tax inc, 88,000. Je umelipa shs ngapi huko kwenye basi?
 
Pole sana , jifunze kupanga safri mapema, kuna fast jet siku hizi, bei sawa na mabasi hayo
Bas hizi zimepoteza hadh yake. nimepanda leo mza naenda dar, yaliyojiri sasa
1. abiria wamegonganishwa siti, mzozo umezuka hadi mmoja kaamua akae . kwenye bonet.
2. gari inachemsha, imebidi wafungue . show ya mbele ili lipoe
3. kuna abiria mwingine kasimama na . wawili wamekaa kwenye bonet.
YAANI FUJO TUPU. HIZI GARI NO LONGER A LUXURY BUS.ZIMECHOKA BINAFSI SIRUDII TENA KUPANDA BAS HIZI TENA KWA BEI KUBWA VILE
 
Kwa uzoefu nilonao bora usafiri na Mohamed maana hawa jamaa si wapuuzi kama mabasi mengine, mosi ukianza na suala la kuzidisha idadi ya abiria huku wakijua kuwa italeta usumbufu kwa wateja wao ili limekuwa sugu, Usumbufu mwingine unakata tiketi ya Happy Nation asubuhi unaambiwa upande Hai Express ni balaa tupu! Tatu suala la nauli kutokuwa wazi mfano kama Dar-Mwz wanaanzia 36000 mpaka 40000 twende Dar-Mby 28000 mpaka 30000 na hii inategemea na muonekano wako yaani unaambiwa ni bonge la vurugu mechi
 
Bas hizi zimepoteza hadh yake. nimepanda leo mza naenda dar, yaliyojiri sasa
1. abiria wamegonganishwa siti, mzozo umezuka hadi mmoja kaamua akae . kwenye bonet.
2. gari inachemsha, imebidi wafungue . show ya mbele ili lipoe
3. kuna abiria mwingine kasimama na . wawili wamekaa kwenye bonet.
YAANI FUJO TUPU. HIZI GARI NO LONGER A LUXURY BUS.ZIMECHOKA BINAFSI SIRUDII TENA KUPANDA BAS HIZI TENA KWA BEI KUBWA VILE

kaka kwa nini upate Tabu wakati fast jet zipo,fasta mpaka mwanza
 
duh. mi abiria tu. si agent wala nn, yaan next tym ntaztafta hizo fast jet.
 
hivi hizi basi sindo zianongoza kubeba bangi from mikoani to dar???
 
Akili za kitanzania ndio zinatukwamisha. Yaani kupanda basi siku moja ukakutana na ukengeufu wa namna hii tayari unaconclude kuwa hayafai!

Ndege huwa zinaanguka pia
 
Mkuu siku hizi kupanda bus kutoka Dar kwenda Mwanza ni kuonyesha kiwango gani huwezi kupanga safari yako. Fastjet baba Tsh 88,000 kwenda na kurudi na mzigo wa kilo 20. Saa moja dakika arobaini huko Mwanza. Ya nini ujisumbue na hayo mabasi.
 
Akili za kitanzania ndio zinatukwamisha. Yaani kupanda basi siku moja ukakutana na ukengeufu wa namna hii tayari unaconclude kuwa hayafai!

Ndege huwa zinaanguka pia

Ndugu yangu wala siyo kama unavyosema hata mim yalishanikuta nilikuwa ntaoka dar we bwana we kufika gairo likaharibika yani tuligika mza saa 7 usiku sasa huo ni usafiri au usumbufu?ukiangalia ticket zao utadhani unaenda kupanda boeing kumbe hakuna lolote ni rangi tu>
 
hiyo namba ya customer care ya fastjet ukipiga uli upate msaada haipokelewi na wakati mwingine haipatikani kabisa ufafanuzi toka kwa wahusika plse?
 
POle sana kijana juzi juzi 2 nlimwambia ofisa wa sumatra kwa njia ya txt kama hilo gari ni bovu kila cku watu wanalala njiani na bei elfu 45 while magari mengne chini ya elfu 40 na ni mazuri.naic ni linamilikiwa na boss flani maana hata ile ofisi ya dar kampuni ya scndnavia ndo wanatumia
 
Hizi bus zishakuwa kimeo maana last week mwenyewe nilipanda kwenda mwanza kwanza ubungo imeondoka saa moja badala ya saa 12 alafu kufika chalinze ikaharibika tumekuja fika mwanza saa nane usiku....
 
Back
Top Bottom