Sekema
Member
- Nov 25, 2012
- 55
- 12
hiyo namba ya customer care ya fastjet ukipiga uli upate msaada haipokelewi na wakati mwingine haipatikani kabisa ufafanuzi toka kwa wahusika plse?
Mwnyewe nimejaribu leo mpaka simu imeisha chaji simu inaita tuu bila kupokelewa hawa nao wameanza taratibu, mwishowe watakuwa hawana tofauti na hao wa mabasi!