chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,302
- 45,095
Baada ya kukaa na kuchambua faida zitokanazo na greenhouse nimeamua kuwekeza pesa zangu katika hii project mtaji ni sufficient na nahitaji greenhouse makers waliosajiliwa kisheria na wana office physically sio hawa wa briefcase company karibuni kwa wanaowafahamu pia kujadili faida zaidi zitokanazo na greenhouse kwa maendeleo ya taifa.