Green Guard Special Forces?

Mbona kwenye mlolongo wa mafunzo yao hakuna neno mazingaombwe ndo kwanza nakusikia wewe.

sasa kama evidence ni hio picha.utatoaje mafunzo mbele ya watoto.mi sio wa kubuluzwa kizombizombi.miguu ya watoto pembemi inaoneka hapo adobe imechemka.
 
sasa kama evidence ni hio picha.utatoaje mafunzo mbele ya watoto.mi sio wa kubuluzwa kizombizombi.miguu ya watoto pembemi inaoneka hapo adobe imechemka.
tofyooooooooooo!!!!!!!
 

Wakimaliza hayo mafunzo wanapewa na vyeti. Tendwa upo?!!!!

Tumewasika vibaya nabado ngoja tuone watakuja na movie nyingine bila kujipanga na kusoma sheria..... Na matamko yao eti chadema wanataka kuanzisha jeshi.
 
Safi kabia kada wetu kwani cheti hicho ni msaada kwa watanzania wote ili waweze kutofautisha kati ya red brigade na green guards
 
Naona hapo Green Guards wanafundishwa namna ya kuchinja watu kwa kuondoa kichwa, matokeo yake ndo kama yale ya kuchinjwa kwa Mkti wa CDM wa Usa River marehemu Msafiri Mbwambo.
 

Wakimaliza hayo mafunzo wanapewa na vyeti. Tendwa upo?!!!!
....Mheshimiwa........yaani kwa siku zisizozidi 8 ndiyo wanajifunza yote hayo?.....Ndiyo sababu haishangazi kila jambo tunalofanya linakosa ufanisi mzuri.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…