Ngoja nikae siti ya mbeleHabari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.
Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.
Kwanini unataka kuondoka mkuu,tujuzane,ndio lengo la thread watu kujua changamoto za green card piaYan mi natak kuondoka wengne wanaona Kuna fursa
Mkuu uliomba dv lottery?
Wapishi hawataki huko maana wengine tupo vizuri sector hiyo na kazi zingine za mikono kama kupaka rangi na kulea mifugoSubiri vita ya koona iishe ndo uchambuzi wa kusafiri uanze.
Vita ikiisha ajira zitakuwa nje nje, wakati unasubiri jinoe na kozi fupifupi za online, Kama za lugha mbalimbali, stadi za mikono.
Pia gugo huko unakotaka kwenda wana uhaba na wafanyakazi wa aina gani??
Mipaka ikufunguliwa utagombaniwa kama first year au form one 😅.
Kwa nini unaanza kutafuta taratibu za kufuata kama umechaguliwa wakati kuchaguliwa ni bahati nasibu ambayo kupata ni ngumu mno? Unajua unachofanya ni kama mtu anaenda dukani kuulizia bei ya Ranger Rover kabla hata hajapata fedha za kununua. Jikete kwenye kujaza fomu itakayokuwezesha kuingia kwenye bahati nasibu kwanza.Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.
Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.
Mbona mnapenda kuwakatisha Tamaa watuKwa nini unaanza kutafuta taratibu za kufuata kama umechaguliwa wakati kuchaguliwa ni bahati nasibu ambayo kupata ni ngumu mno? Unajua unachofanya ni kama mtu anaenda dukani kuulizia bei ya Ranger Rover kabla hata hajapata fedha za kununua. Jikete kwenye kujaza fomu itakayokuwezesha kuingia kwenye bahati nasibu kwanza.
Na hiyo fomu haihitaji document zozote na ni rahisi sana kujaza. Kipindi chake ni mwezi wa 10 mwanzoni mpaka mwezi wa 11 around tarehe 10 hivi. Ninachokusisitizia ni kwenda kwenye website yao na kujaza fomu. Usitumie sijui ma-wakala au site nyingine zozote na kuna wanazotosa fedha. Kujaza ni bure na link yake ni hii:
Kwa sasa imeshafungwa hivyo mpaka mwezi wa 10 tena.
Sikukatisha yeyote tamaa ila nimemjulisha utaratibu.Mbona mnapenda kuwakatisha Tamaa watu
Mpaka kuitwa kwa ajili ya hiyo interview, Utakuwa umeshapeleka nyaraka mbalimbali hasa za elimu yako, na wao watakuwa wameshafuatilia mpaka chuoni kwako. Cha muhimu ni kutodanganya lolote linalokuhusu/watakalouliza au kuomba, mfano elimu na mambo ya familia.Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.
Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.
Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.

Green Card Lottery | Diversity Visa Lottery | DV 2026
You have reached the US Green Card Entry Program. The 2024 green card lottery is also know as the DV 2026 Lottery.www.greencardlottery.expert
Habari za wakati huu waungwana especially Travelers and Hustlers amabo waliamua au wameamua kwenda kuanzisha maisha mapya kwenye ardhi iliyojaa fursa USA kwa kupitia bahati na sibu ya green card maarufu kama dv lottery.
Sababu kuu ya kuanzisha huu uzi ni kuku sanya mawazo maoni
Na ushauri wa watu ambao walifanikiwa kushinda kweny hii program na kupata visa au hata kukosa vile vile nawaomba mje hapa mtupe uzofu wenu vitu gani vyakuzingatia kwenye kujaza form ya Ds 260 na documents gani ambazo unatakiwa uwenazo siku ya interview kwa walio qualify in Education and working experience ili uweze kufanikiwa itakapo fika siku ya interview tafadhalini karibuni sanaa.
Hii mpaka September nadhani ndo wanafungua. Muhimu uwe na passport na elimu kwanzia form six kuendelea. Au work experience lakini hapo kwa W.E pagumu kidogo..
Wameshafungua maombi nenda kwenye website utakuta maelekezo humoHatua gani wanayokuuliza hizo Work experience au elimu? Mbona hakunaga kwenye application form au sikumbuki