Hii ndio outcome ya kusimamisha uigizaji wa mafuta toka Iran. Spain hoi, Ureno nayo hoi, uchumi wa UK unakuwa slowly na huko hoi. Ufaransa ashukuru mpango wake wa kumuua Gaddafi ulifanikiwa, otherwiz ma-banki yake yangekuwa kama Greece... Soon German atashindwa kuibeba EU, 'kila mtu atabeba msalaba wake'... Hapo ndio tutaona nchi nyingi zinafilisika na EU kuvunjika... Strategically, US-Iran conflict was designed diversionally to stop coming powerful EUZONE. EU na china zimekuwa zinamsumbua sana US, kwa sababu ya power shift... Sasa aliyebakia ni mchina..
wewe nafikiri hata matatizo ya EU huyaelewi unaandika tu labda kwa sababu unazozijua mwenyewe, sasa Marekani wanahusika nini hapo? au Uingereza? wote sio wanachama wa sarafu moja ya Euro sasa watawaamuliaje wanachama wa Euro? Kama ni kukaza mkanda maamuzi yanatoka Brussel kwenye makao ya Umoja wa Ulaya na si kwingineko na maamuzi hayo hutolewa na nchi wanachama kwa wanachama wao husikia na si vinginenevyo!
Dah! Kweli ulimwenguni hapa tumetofautiana. Waswahili walisema akili ni mali kila mtu ana zake.
wewe ndio unalijua leo hilo, wakati mpwa wangu yuko darasa la 2, anajua kwamba binadamu tuko tofauti lakini hata hivyo hongera na nafikiri kadiri siku zinavyozidi kwenda utazidi kujua mengi kuhusu mwanandamu!
Good try ... .... ...! No wonder Kijakazi.[/QUOTE
Pole pole utahitimu tu na kujua mengi zaidi, maadamu umesshaanza pa kuanzia utafika tu, ingawaje safari bado ndefu na una mengi ya kufanya kabla ya kuhitimu!