Hii ndio outcome ya kusimamisha uigizaji wa mafuta toka Iran. Spain hoi, Ureno nayo hoi, uchumi wa UK unakuwa slowly na huko hoi. Ufaransa ashukuru mpango wake wa kumuua Gaddafi ulifanikiwa, otherwiz ma-banki yake yangekuwa kama Greece... Soon German atashindwa kuibeba EU, 'kila mtu atabeba msalaba wake'... Hapo ndio tutaona nchi nyingi zinafilisika na EU kuvunjika... Strategically, US-Iran conflict was designed diversionally to stop coming powerful EUZONE. EU na china zimekuwa zinamsumbua sana US, kwa sababu ya power shift... Sasa aliyebakia ni mchina..