Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
- Thread starter
- #21
Ukiona manyoa ujue kaliwaaaMbona hamtupi update nyie waajemi vip
Ukiona manyoa ujue kaliwaaaMbona hamtupi update nyie waajemi vip
Jamani waajemi vip melibishatia Nanga Syria au badob tupeni ata updates basi wakuu?
Destnaimtion ilikuwa slovenia ama Syria mkuu? alafu picha pls na link ili nasi tuishuhudie ikitia nanga apo Slovenia babMeli imeshatia nanga bandari ya Slovenia
Meli inaelekea uturuki , ugiriki kaingia upepo anaogopa atakua mjane akiikaribisha grace 1.Mbona hamtupi update nyie waajemi vip
Eeeh ishabadiri upepo tena hataki tena kwenda Syria duuh kweli ili balaa ok ili swala naomba tulipe muda tu ndo utakao tuambia kinachoendelea na ndo utakao tuamulia ni nini cha kitafanyikaMeli inaelekea uturuki , ugiriki kaingia upepo anaogopa atakua mjane akiikaribisha grace 1.
Imetia nanga jana usiku bandari ya kilwa kivinje lkn inasubiri zile destroyer mbili ili ipeleke mzigo Syria na north KoreaKwa mwenye updates apa umatujuze meli imetia nanga damascus SYRIA ama vip imebadili destination?