Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Ugiriki imekataa kuipokea meli ya Iran,ngoja tuone movie inaishia wapiView attachment 1186660
View attachment 1186663
Marekani hatambui hilo, Department of Treasure ishapiga hesabu thamani ya mzigo uliobeba hiyo Meli na Meli yenyewe inatosha kufidia ile Global Hawks iliyoangushwa.Collateral security ya wa Iran ni meli waliyoishikilia ya UK,kama meli yao Iran haitafika kwao then nao UK hawatapata meli yao.
Easy as A B C D.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Baada Yakushindwa Kupambana nae kwanjia zakijeshi wanatafta pakujifichia nakwambia meli hawataifanya lolote na itaelekea iendapo kwasalama na amani kabisaMarekani hatambui hilo, Department of Treasure ishapiga hesabu thamani ya mzigo uliobeba hiyo Meli na Meli yenyewe inatosha kufidia ile Global Hawks iliyoangushwa.
Wezi nyie😂Marekani hatambui hilo, Department of Treasure ishapiga hesabu thamani ya mzigo uliobeba hiyo Meli na Meli yenyewe inatosha kufidia ile Global Hawks iliyoangushwa.
Hiyo Meli inakamatwa mchana kweupe,tuone Iran kama atatuma jeshi lake kama alivyodai hapo mwanzoni kuipa escort.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Baada Yakushindwa Kupambana nae kwanjia zakijeshi wanatafta pakujifichia nakwambia meli hawataifanya lolote na itaelekea iendapo kwasalama na amani kabisa
Na kama wataikamata hawata achwa bila majibu kama walivyofanywa mashosti zao UK
Haikamatwi!Hiyo Meli inakamatwa mchana kweupe,tuone Iran kama atatuma jeshi lake kama alivyodai hapo mwanzoni kuipa escort.
Kwani wewe umenyimwa kuongelea Nchi yako?Kwani we kijamaa ndio kusema unatamani hata ku abandon huo ukoo wenu wa akina wanjiru ukaitwa grank pompeo ama nn ...hatukuelewi mzee kila uchao marekani hivi marekani that ongelea nchi yako mzee inatuumizwa vichwa
Hiyo Meli inakamatwa mchana kweupe,tuone Iran kama atatuma jeshi lake kama alivyodai hapo mwanzoni kuipa escort.
😂😂😂Wana SADC wenzangu vipi huko kwa Adrian ?
MELI imetoweka gafla kwenye rada lkn mara ya mwisho zilionekana nyambizi za jw zikiwa zinainyemerea kininjaWazee ngapi ngapi mpk sasa?
Iran 3Wazee ngapi ngapi mpk sasa?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]MELI imetoweka gafla kwenye rada lkn mara ya mwisho zilionekana nyambizi za jw zikiwa zinainyemerea kininja