Tenesi anaifichia wapi?Ladies' final: Sharapova Vs Kvitova
Umenikumbusha tennis player Tim Henman, Media walikuwa wanampandisha wimbledon ikianza hafiki sehemu. All mouth but no action.Waingereza wanashindwa kila kitu, mpira wabovu, tennis wabovu, ngumi ndo hivyo sijui wao bora katika nini?
Umenikumbusha tennis player Tim Henman, Media walikuwa wanampandisha wimbledon ikianza hafiki sehemu. All mouth but no action.
Mkuu ray b waingereza ni mabingwa wa kubwabwaja tu na si michezo.wazee wa blablaaaa!!!!!<!-- google_ad_section_end -->
KAMA YANGA