Inasikitisha kuona jamii ya nje (Marekani na Ulaya) wakichukulia Uislam kama ugaidi wakati magaidi ni viongozi wetu hapa Afrika tusikofuata sheria na haki za binadamu. Wanasema Islam is the truth, hapa Tanzania ukisema ukweli unamwagiwa tindi kali ama kung'olewa meno na kucha kwa koleo na vijana/makachero wa Chama Cha Majambazi (CCM).