Angepanda wetu sisi mngezua mengi tu ya kukera, kwa vile kapanda wa wenzetu mtasifu mpaka basi. Watu wenye uwezo mdogo husifu hata la hovyo ili mradi tu lifanywe na mtu anayesema kiingereza.
Hii taamu sana! President wangu pia angependeza sana katika pozi kama hili; MziziMkavu wahi basi na bajaji yako ukachukuwe picha pale Magogoni. Make sure wale Tausi wanatokea kwa pembeni!