Jukwaa la matangazo wamejaa kibao watu wanaofanya hizo kazi, kama unataka mtu serious nenda kule, ila kama unataka kutumia watu wa jukwaa hili its better ukawa muwazi watu watafanya wataupload hizo icon pengine bila hata kukuchaji chochote.
Ungesema tu maybe unahitaji icon 10, za setting, video, audio, picture, contact us......nk watu watakusaidia