Graphics Designer anahitajika haraka

Graphics Designer anahitajika haraka

Deus F Mallya

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
705
Reaction score
442
VISTA PRINT (T) LIMITED inahitaji Graphics Designer mwenye vigezo vifuatavyo
1. Awe na shahada ya kwanza ya Computer Science
2. Awe na uwezo wa kufanya kazi hata masaa ya ziada (Overtime)
3. Awe na umri usiozidi miaka 30
3. Anayejua kuongea Kiarabu na au kihindi atapewa kipaumbele zaidi
4. Mshahara ni kati ya 1,000,000/= hadi 1,300,000/= kwa mwezi


Tuma CV kupitia;
vistaprinttz@yahoo.com

Deadline 6th January 2014
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom