Yamakagashi JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 8,613 Reaction score 17,645 Nov 16, 2016 #41 Hizo photoshop tu mkuu usiogope sana hakuna Camera inaweza kupiga picha ya hivyo ndani ya mwili wa mwanadamu Teh teh
Hizo photoshop tu mkuu usiogope sana hakuna Camera inaweza kupiga picha ya hivyo ndani ya mwili wa mwanadamu Teh teh
T Team mafisi Senior Member Joined Nov 14, 2016 Posts 138 Reaction score 144 Nov 16, 2016 #42 Bange nibangue niache fegi
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,804 Nov 16, 2016 #43 Sigara ndiyo inachangia pato kubwa la kodi kuliko kitu kingine chochote Kile
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,485 Reaction score 57,403 Nov 16, 2016 #44 Mlipewa viungo vizimaaa.ona mnavyoviharibuu.mtakwenda kujibu.aliyegundua sigara na pesa.na pombe.mungu awalaani.
Mlipewa viungo vizimaaa.ona mnavyoviharibuu.mtakwenda kujibu.aliyegundua sigara na pesa.na pombe.mungu awalaani.
chini ya reli JF-Expert Member Joined Aug 25, 2015 Posts 236 Reaction score 359 Nov 16, 2016 #45 nani ataishi milele..em ngoja nitoe vichwa vya sekei nijibonde
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Nov 16, 2016 #46 Saint Ivuga said: duh, ushanikata ngoja nilale Click to expand... Ng'wanza Madaso said: Zinatisha,kama ndo hivi Mangi hanioni tena dukani kwake. Click to expand... joellincoln said: mh ngoja nizitupe hizi nilizokuwa nazo uwii, umetoa somo hapa aisee, asante sana,, maana nazivuta mno,, especially nikiwa na assignment ngumu! Hebu tupe mbinu za kusaidia kuacha kabisa mkuu! Click to expand... Acheni hizo sigara kwa kweli nilipoteza Mjomba wangu kwa kansa ya Koo si utani alipata shida sana
Saint Ivuga said: duh, ushanikata ngoja nilale Click to expand... Ng'wanza Madaso said: Zinatisha,kama ndo hivi Mangi hanioni tena dukani kwake. Click to expand... joellincoln said: mh ngoja nizitupe hizi nilizokuwa nazo uwii, umetoa somo hapa aisee, asante sana,, maana nazivuta mno,, especially nikiwa na assignment ngumu! Hebu tupe mbinu za kusaidia kuacha kabisa mkuu! Click to expand... Acheni hizo sigara kwa kweli nilipoteza Mjomba wangu kwa kansa ya Koo si utani alipata shida sana
INGENJA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 4,990 Reaction score 4,270 Nov 16, 2016 #47 mvutaji anajua madhara ya sigara haina haja ya kutishana na mapicha yote hayo..!!pia mnaharibu soko la tumbaku ambalo cash crop hapa nyumbani
mvutaji anajua madhara ya sigara haina haja ya kutishana na mapicha yote hayo..!!pia mnaharibu soko la tumbaku ambalo cash crop hapa nyumbani