Kwa mwenye uhitaji wa Graphic Designer, natafuta kazi:
Ninao uzoefu wa kutosha kwenye Designing na Printing katikaViwanda.
Ninauzoefu wa miaka kumi (10) katika Designing na Printing, nikitumia Programs za:- Adobe Photoshop, Illustrator, InDesign, Coral Draw, Quick Express na Microsoft Office.
Ninauzoefu wa kutengeneza: Vitabu, Magazines, Logo Design, Company Profiles, Banners, Posters, Flyers, Calendar, Business Cards, Brochure n.k
Kwa maelezozaidi napatikana:-
Dar es Salaam 0715 899495 rkiatu2@gmail.com
Unafikiri mtaji ni nini?Ni nia ndio mtaji.Huyu bwana hajapata NIA.Ila kama kweli ana hizo skills tajwa hapo juu na anaamini katika uwezo wake basi nitamtafuta nimpe MTAJI.au KAZI ila awe mzuri kweli na sio mbabaishaji