Graphic Design

Graphic Design

Buggy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
236
Reaction score
61
Nipo Arusha mjini. Nina utaalamu wa ku-design all kind of grafix (logos, flyers, brochures, magazine, annual reports, invitation cards etc) kwa kutumia Adobe CS5, nina design pia TV adverts kwa kutumia Final Cut Pro 7. Kwa maelezo zaidi call: 0767 228404 or email: richie_massive@yahoo.com
 
Safi,Lakini umetoa vibaya tangazo lako.
Wewe sema kazi unazofanya ,ulipo na contacts,hii ya kutaja mpaka programme unazotumia,unajinyanganya ujuzi kwani watu hapa hayo pa-programme wanadoweload free on intenert na kufanya wenyewe,Na kwa taarifa juzi kuna mdau mmoja ametoa namna ya kupata serial number za programme kibao.Lakini mwanzo mzuri
mimi nitakupigia kwa ushauri wa jambo fulani.
 
Back
Top Bottom