Thanks man for your advice. About creative mind, oh, am not sure but I think am not very far behind it. Mara nyingi ninapokuwa na shida na graphics, more often than not ni mimi mwenyewe ndie huwa natoa idea kwamba iwe hivi au vile... ingawaje huwa natoa chance kwa criticism lakini mara nyingi ideas zangu huwa zinakuwa accepted... huwa nakuwa na full image of what I want in my head kinachonishinda ni ku-transform hizo images into graphics... I think hii ndiyo creativity unayoizungumzia!!● Kuwa Graphics Designer si lazima awe nchoraji mzuri.
● Kitu kikubwa kwenye Graphics Designing ni ubunifu.Ukiwa mbunifu mambo ya Graphics Designing yatakubali vizuri sana.
● Kwa ushauri wangu, ninaona ungeanza kufuatililia hili suala kwenye internet.
Ni hayo tu ndugu...