mathsjery JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 2,287 Reaction score 1,855 Aug 12, 2016 #1 Nauliza naweza pata kwa bei gani na wapi mi niko mwanza graphic card ya asus f8s series 1GB NVIDIA 9650GT VGA GRAPHIC CARD G96-650-C1 for asus f8s series
Nauliza naweza pata kwa bei gani na wapi mi niko mwanza graphic card ya asus f8s series 1GB NVIDIA 9650GT VGA GRAPHIC CARD G96-650-C1 for asus f8s series
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,226 Reaction score 44,224 Aug 12, 2016 #2 mkuu hio ni gpu ya kizamani sana, inatumia ddr2, perfomance yake inapitwa hadi na simu, sidhani kama instahili kupoteza hela yako kuishughulikia
mkuu hio ni gpu ya kizamani sana, inatumia ddr2, perfomance yake inapitwa hadi na simu, sidhani kama instahili kupoteza hela yako kuishughulikia