Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
Wakuu kwa tathimini yenu graph ya UKAWA inapanda au inashuka?....Kiunzi cha hotuba ya rais imepita,kiunzi cha spika wa bunge imepita...kusherekea sikukuu ya uhuru ni usafi ili swala za Zanzibar lisijitokeze.
Je kwa mwelekeo huu graph ya UKAWA inapanda au inashuka?
Je kwa mwelekeo huu graph ya UKAWA inapanda au inashuka?