House4Rent Je, unahitaji Nyumba ya Kupanga, Apartment ama Nyumba ya kununua? Karibu katika uzi huu

Manumba

JF-Expert Member
Nov 6, 2019
1,098
615
Nyumba Iko Kimara Suka - 1Km kutoka Morogoro road, kushoto ukiwa kama unakwenda Mbezi.

Sifa za nyumba:
Ziko mbili ndani ya fence 1
Vyumba 3 kimoja Master
AC mbili (Sitting room moja na master bedroom moja)
Jiko la ndani + Stoo ya ndani + Public toilet ndani
Feni za juu vyumba vyote
Sliding windows + Tiles
Umeme na maji inajitegemea

Kodi:
TZS. 250,000 kwa mwezi (Ilipwe miezi 6)

Call: 0717 650800


IMG-20210815-WA0022.jpg
IMG-20210815-WA0014.jpg
IMG-20210815-WA0013.jpg
IMG-20210815-WA0015.jpg
IMG-20210815-WA0018.jpg
IMG-20210815-WA0012.jpg
IMG-20210815-WA0016.jpg
IMG-20210815-WA0011.jpg
IMG-20210815-WA0021.jpg
IMG-20210815-WA0017.jpg
 
Inajitegemea vyumba vitatu
kimoja master
servant quarter
ipo masaki chole road

bei $1000 × 6

Call: 0717 650800
IMG-20220110-WA0043.jpg
IMG-20220110-WA0042.jpg
IMG-20220110-WA0041.jpg
IMG-20220110-WA0040.jpg
IMG-20220110-WA0048.jpg
IMG-20220110-WA0049.jpg
IMG-20220110-WA0045.jpg
IMG-20220110-WA0046.jpg
IMG-20220110-WA0047.jpg
IMG-20220110-WA0044.jpg
 

Attachments

  • IMG-20220110-WA0040.jpg
    IMG-20220110-WA0040.jpg
    50.8 KB · Views: 24
  • IMG-20220110-WA0046.jpg
    IMG-20220110-WA0046.jpg
    34.6 KB · Views: 24
Kutokana na Ushauri Mkubwa wa Wadau,Dada ameamua kuishusha Bei kutokana kwamba Haina fence,pia madirisha hayajakmilika Alluminium.
Nyumba Kali Sana na ni Mpya, inapangishwa.
Hipo Mbezi Mwisho kwa Yusuph,karibu na Stand ya Mkoa.
Umbali kutoka road ni Metre 50 tu.
Ina Vyumba vitatu, kimoja Master, dinning,jiko, sitting Room kubwa Sana,choo Cha public.
Maji yapo na Tank za kuhifadhia pia.

Kwa Sasa bei inataka 300×6.
Fence soon itawekwa.

Call: 0717 650800
IMG-20220110-WA0012.jpg
IMG-20220110-WA0015.jpg
IMG-20220110-WA0006.jpg
IMG-20220110-WA0017.jpg
IMG-20220110-WA0019.jpg
IMG-20220110-WA0010.jpg
IMG-20220110-WA0011.jpg
IMG-20220110-WA0005.jpg
IMG-20220110-WA0014.jpg
IMG-20220110-WA0002.jpg
IMG-20220110-WA0003.jpg
IMG-20220110-WA0004.jpg
IMG-20220110-WA0000.jpg
IMG-20220110-WA0007.jpg
IMG-20220110-WA0001.jpg
IMG-20220110-WA0013.jpg
IMG-20220110-WA0018.jpg
 

Attachments

  • IMG-20220110-WA0007.jpg
    IMG-20220110-WA0007.jpg
    40.5 KB · Views: 23
Kati ya Appartiments nne zilizopo ndani ya fence.
Inapangishwa hipo Bunju A,karibu kabisa na bara bara,kwa Gari ni dakika 5; tu kwa Miguu ni Kama dakika 15.
Ina Vyumba viwili vya kulala kimoja Master,sebule, dinning,jiko pamoja na store;Vikubwa Sana.
Inataka 250×5/6.
Karibuni Sana.
Call 0717 650800
IMG-20220111-WA0043.jpg
IMG-20220111-WA0045.jpg
IMG-20220111-WA0040.jpg
IMG-20220111-WA0041.jpg
IMG-20220111-WA0039.jpg
IMG-20220111-WA0042.jpg
IMG-20220111-WA0044.jpg
IMG-20220111-WA0046.jpg
 
Sheli inauzwa Chanika Kipawa mpya

-Ina Pampu 2-4

-Plot size Hekari 1

-Ina sehemu ya service bay, Car wash, Kuna sehemu ya chumba unaweza kufungua Saloon, Kuna ofisi za Meneja, Choo Cha wafanyakazi na wateja.

-Standby Generator

-Bei TZS. 2 Bilioni maongezi yapo

-0717 436363

IMG-20220211-WA0008.jpg
IMG-20220211-WA0004.jpg
IMG-20220211-WA0012.jpg
 
Sheli inauzwa Chanika

-Sheli ina Pampu 4
-Pampu 2 Petrol
-Pampu 2 Diesel
-Eneo ukubwa wake ni heka 1.
-Ujazo wa Kisima cha Petrol ni 20,000 lita
-Ujazo wa kisima cha diesel ni 19,000 lita
-Kuna sehemu ya kuziba pancha.

-Bei ni TZS. 1.5B

-Piga : 0717 650800


IMG-20220211-WA0027.jpg
IMG-20220211-WA0023.jpg
IMG-20220211-WA0028.jpg
IMG-20220211-WA0025.jpg
IMG-20220211-WA0026.jpg
IMG-20220211-WA0023.jpg
IMG-20220211-WA0027.jpg
 
Back
Top Bottom