Grand Malt

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,700
Wakuu,nimetokea kuwa addict sana na hutu tudude,kwa wajuvi wa mambo,hivi hakuna madhara yeyote naweza kupata kwa kuwa muhanga wa hiki kinywaji?
kiukweli katika wiki lazima ninywe mara tatu au nne,sasa kama mjuavyo,too much is harmful,nimeona kabla sijapatwa na lolote,niulize kwanza wazoefu mnisaidie kama niendelee tu kutumia au,niache/nipunguze?
 
Ukichanganya na yai ni steaming nzuri sana kwa nywele zako
 
Mimi nimedata na MO-Energy
 
Halafu kuna Ile ya chupa sijui ilienda wapi? Ulikuwa nzitoooo
 
Utapata ka kitambi tu..
Sema kunywa mara 3 kwa week sio kuwa addicted huko ungekuwa unakunywa 2 kwa siku hapo sawa
 
Hakuna madhara yoyote piga kinywa chako kama alivyokurudhuku Allah siku Ruzuku zako zikiisha huwezi ongeza hata nukta ,ulikuja hapa duniani bila malipo na utaondoka vivyo hivyo
Hizi tafuta namna ya kuacha tu.
Maana zina high content ya caffein sasa ukianza kudevelop tolerance za caffein itakuwa shida mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…