Jama naomba ushauri kwan kwa muda sasa nimekuwa nikitumia hiki kinywaji lakini nnapo amka asbhi kichwa hwa kinak'wa kizito na mdomo k'wa mzito na kama michbko flani kwenye 'limi hlp pl'z je kina matatizo flani kwa wa2miaji?
Kwani wewe unamatatizo gani mpaka uwe unakunywa energy drinks. Nchi zingine hivyo vinywaji vyapatikana mahosipitalini tena uandikiwe na dr. Endelea kuyachosha maini yako.