GP_by_SHAMIN ni software kwa ajili ya modem za Grameenphone kampuni ya Bangladesh, wazo langu ni utakuwa kuna kipindi ulikuwa unajaribu
kuchakachua modem kwa kutumia software mbalimbali na ukabadili hiyo dash jaribu kukumbuka kama sio wewe mtu mwengine anayetumia hiyo modem.
Anyway kama inafanya kazi sio tatizo kuwa haionekani Zain tena.