Graduation ya ai levo ilivyokuwa JANA.

Graduation ya ai levo ilivyokuwa JANA.

lachicaguapa

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
269
Reaction score
72
Ulikuwa siku ya furaha kumaliza shule, mgeni rasmi alikuwa waziri wa jamii.
Sasa ukafika Wakati wa kuimba kwaya,
Wimbo ulikuwa Kama ifuatavyo
Muongoza kwaya :Wanawake munapenda nini?
Waitikiaji; sisi tunapenda MBooooooooo. Mbooooooooooo......ga za majaniiiiiiiii ili tujenge mwili
Muongoza kwaya: wanaume munapenda nini sisi tunapenda KUMAaaaaaaaaaaah,kumaaaaaaa...lizashuleeee tujenge taifa..

Muheshimiwa nusura achape lapa...maana alikuwa amefumba macho badala ya kuziba masikio.
 
i wonder wat you were thinking to compose this..
 
bila shaka huyo Waziri atakuwa shoga,kusikia KU:A S-heart-2: MA KU:A S-heart-2: MA KUMALIZA SHULE,akafumba macho!
Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom