M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Jun 8, 2014 #2 Ooyooo hawa ma afande naona shibe yao ni hafifu sana hapo utasema ni fitto za kujengea nyumba za matope na hata huwo kamshahara kao ni kwa mbinde
Ooyooo hawa ma afande naona shibe yao ni hafifu sana hapo utasema ni fitto za kujengea nyumba za matope na hata huwo kamshahara kao ni kwa mbinde
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Jun 8, 2014 Thread starter #3 makubazi said: Ooyooo hawa ma afande naona shibe yao ni hafifu sana hapo utasema ni fitto za kujengea nyumba za matope na hata huwo kamshahara kao ni kwa mbinde Click to expand... Sio maafande, ni wanafunzi wa Kisomali wapo kwenye graduation. Hiyo inaitwa self defense, si unajua tena mambo ya Al Shabab..
makubazi said: Ooyooo hawa ma afande naona shibe yao ni hafifu sana hapo utasema ni fitto za kujengea nyumba za matope na hata huwo kamshahara kao ni kwa mbinde Click to expand... Sio maafande, ni wanafunzi wa Kisomali wapo kwenye graduation. Hiyo inaitwa self defense, si unajua tena mambo ya Al Shabab..
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,430 Jun 8, 2014 #4 hahahaahhaha