Ww baba yako si ameshakunyima mikwara mbuzi?Naomba website yao? Nataka nikasome kidogo.
Graduation ya wapi! huko hakuna any education institution!
Duh!Visa vya ugaidi!
Mkuu somaliland ipo vizuri tu,kila kitu kinaenda kama kawaida!Graduation ya wapi! huko hakuna any education institution!
Naona wanajiandaa kupambana na Sudan ya kaskazini (Waarabu!)!Ni kweli bosi hawa ni graduants toka southern sudan!!
Bachelor of Machine Gun with Arts
Mkuu somaliland ipo vizuri tu,kila kitu kinaenda kama kawaida!