Graduates wanaotaka kujiajiri

Graduates wanaotaka kujiajiri

sajientia

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
171
Reaction score
137
Am a graduate i need 5 more graduate ili tufanye kitu cha maana kuliko kusubiri ajira. if your ready nipm
 
Am a graduate i need 5
more graduate ili tufanye kitu cha maana kuliko kusubiri ajira. if your
ready nipm
Hicho kitu cha maana ni kipi?ungesema kwanza ili mtu ajue ataweza au hawezi.
 
ss tutajuaje km ni haramu? Funguka kwanza unataka kufanya nn
 
Icjekuwa kutubebesha sembe, sema hicho cha maana ni kipi ili tuku pm
 
Ni PM mimi ni graduate pia nahitaji watu wa kushirikiana nao tujiajiri.
 
Watoto wa vigogo wangekua na mawazo kama wewe ningeshapata kazi/ajira. Wanakaba hadi udereva!
 
Mhh angalia yasiwe mambo ya forever living!! Hebu funguka hapaa
 
Back
Top Bottom