Kaaga hivyohivyo na ubishi wako. Inategemea na udadi ya watu wanaohitaji, sasa kama imetosha wataendelea tu kusubiri tarehe? Au may be wanaita watu kwa awamu. Watu wamepigiwa simu mkuu kuwa training ni tarehe 13 alhamisi saa tano asubuhi. Kama unabisha basi endelea kusubiri.
they have called me today in the morning!,,, trainning kesho pale millenium towers saa tano,,,,,,.. kuna mwenye details nyingine? af inakuwaje trainning bila interview?
they have called me today in the morning!,,, trainning kesho pale millenium towers saa tano,,,,,,.. kuna mwenye details nyingine? af inakuwaje trainning bila interview?
Mimi ni mmojawapo, nilipigiwa simu na nilenda pale Millenium towers ilikuwa alhamisi iliyopita....tulikuwa wengi takriban watu 200 hivi....walio-graduate chuo mwaka huu na kurudi miaka ya nyuma...kikubwa zaidi walitupa TRAINING ya Ujasiriamali/Kujiajiri/Ajira bianfsi.....nimeipenda ilikuwa NZURI.....binafsi imenifungua mawazo/fikra. Baada ya training...kwa yule anayehitaji kufanya nao kazi inabidi kuwasiliana nao ili wakuite.