Gps tracker

Gps tracker

mudy1983

Member
Joined
Apr 30, 2009
Posts
8
Reaction score
2
Kwa wale wenye magari,

Nafanya installation ya GPS devices kwa bei nafuu. ambayo yenye uwezo wa ku control gari yako kwa kutumia simu yako ya mkononi kama kuwasha, kutia lock, kuzima na kumonitor gari yako at real time. Ina features like
1. real time tracking
2. sos button
3. geofence
4. camera
5. phone calls
6. alarms
7. oil statistics
8. distance covered
9. fuel consumption

and many others

Contact:
0716647919 OR 0767511272
Skype: mudy98
email:homegrownhigh2012@gmail.com
 
Mkuu bei zipoje?je bei zako zinategemea na aina ya gar au Zipo fixed?unapatikana wapi?tiririka hapa wadau tukusake.
 
napatikana magomeni mapipa mtaa wa idrisa. Na bei hazitegemei aina ya gari zipo constant kwa gari zote isipokuwa installation cost tu ndo inategemea aina ya gari.

Angalia attachment utakuta bei

Thanks
 

Attachments

napatikana magomeni mapipa mtaa wa idrisa. Na bei hazitegemei aina ya gari zipo constant kwa gari zote isipokuwa installation cost tu ndo inategemea aina ya gari.

Angalia attachment utakuta bei

Thanks

Kwa sisi wa mikoani huduma hii tutaipataje
 
Back
Top Bottom