GPA-%

GPA-%

KingGuaje

Senior Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
149
Reaction score
280
Habari za muda huu wanajamii forum!

Kama tunavofaham kuna baadhi ya nchi hazitumii mfumo wa GPA badala yake zinatumia Percentage au scale.
Swali langu ni je kuna utaratibu wa kuconverte percentage kwenda GPA…let’s say mtu alopata 70% ni sawa na GPA ya ngapi?

Nawasilisha!
 
Inategemea na nchi unayotaka kubadilisha matokeo yako.

Mfano kama umeyatoa huko wanakotimia % ukija Tanzania TCU wataangalia kwa vigezo vyake 70% ni grade gani. Kama ni A utakuwa kwenye 4.5+ kama ni B+ ni upper second n.k.
 
Back
Top Bottom