Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam

Karibu chuo kikuu cha arusha kilichopo usa river arusha. hicho chuo unasoma master yoyote kama una GPA ya 2.7 na kuendelea na chuo kipo poa sana kitaaluma na hata miundombinu. karibu sana ingawa hicho chuo kinamilikiwa na wasabato ambao wapo poa