GPA 3.5 AFYA IMEKAAJE HII?

GPA 3.5 AFYA IMEKAAJE HII?

Pure Scientific

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
716
Reaction score
644
Habari wakuu..
Samahani mimi ni mwanafunzi nimeaplly course za afya kwa ngazi ya diploma swali langu masomo ya clinical medicine yamekaaje na changamoto zake ni zipi je upatikana wa GPA upo nimekuwa na hofu kwa hili?
 
Back
Top Bottom