SODOKA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2012
- 1,656
- 724
Hakuna kitu kama hiki. Kama hajalipa zaka basi aka apply na pesa yake itahesabika kama fungu la kumi au matomolo. Bila 3.5 HATAPATA CHUO
bila 3.5 hata ulie hupati
Hakuna kitu kama hiki. Kama hajalipa zaka basi aka apply na pesa yake itahesabika kama fungu la kumi au matomolo. Bila 3.5 HATAPATA CHUO
Sawa but alicho sema ni sahihi ni 3.5 au wale wa zaman wastani wa B+
Duh kuna watu matahira sana haya bhana ngoja nikae pembeniwe ****** kweli....rejea comment ya Eliza ili ujue alivyopotosha
Awape zawad tu tcu, waongeze pato.Guideline inasema average GPA ya 3.5 na kama una less than that usiapply but unaweza try bcoz u never know jaribu tu
haaah haa ndo nilichokiona hicho haamini kwan 3.5 na 3.4 ni sawaHauamini kama point moja imekukosesha chuo, pole
Hapo ndo ukubwa wa 0.1 unaonekanaHauamini kama point moja imekukosesha chuo, pole