Kumar Singh
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,027
- 2,316
Dah JF imejaa negative comments siku hizi
Bado anaweza kusacrifice mwaka akifanya Foundation course out. Akifaulu na kupata hiyo 3... anaendelea bila shidaHauna sifa ya kuendelea na degree kafanye kazi
Bado anaweza kusacrifice mwaka akifanya Foundation course out. Akifaulu na kupata hiyo 3... anaendelea bila shida
Acheni negativity thoughtsNa unategemea kabsa atafaulu hyo Foundation course then akipata 3 akasome degree chuo gan..
Hyo ada bora akalime nyanya ifakara morogoro huko tena vibarua wapo ni hela yako