Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,718
- 27,420
nilichojiuliza, kama sukari yao ni nzuri na ya kiwango bora, kwanini wasiache tu sukari ije toka nje na wao washindane? hao kilombero maji bwerere ya mto, wanatakiwa kulima mashamba mengi, waongeze technologia ili kiwanda kisafishe sukari bora ambayo na wao wata smuggle kwenda nchi nyingine, kama sukari yenu ni nzuri na yenye ubora, kwanini mnaogopa sukari inayotoka nje, kwani wenzenu hiyo miwa wanailima mbinguni? mbona wanauza kwa bei ya chini na bado wanapata faida, ninyi kila mwaka sukari huwa inapanda kila mwaka inapanda....ndio maana maeneo ya mbeya wanatumia sukari ya malawi, pwani huku tunatumia ya dubai imejaa kila eneo. hizo za kilombero mkitaka punguzeni bei ama la fungeni viwanda tutanunua ya bei rahisi na safi toka nje ya nchi.Viwanda vya ndani vinawaza kupiga hela tu, vinawanyonya wakulima wa miwa na wananchi wanao nunua sukari pia, ni wavivu wa kubuni njia za kuongeza uzalishaji na kupunguza gharama za uendeshaji. Hawana tofauti na viwanda vya saruji nchini. Haiingii akili sukari (au saruji) iliyotengenezwa nje, imeingizwa nchini na ikalipiwa kodi zote bila kusahau shiping costs halafu inauzwa nafuu kuliko hiyo ya ndani. Inahitaji mwenye mamlaka awe anakunywa viroba ili aweze kuzuia sukari (au saruji) isiingie toka nje, kwanza inaongeza ushindani katika ubora wa bidhaa na unafuu wa bei hivyo mwananchi wa chini anafaidika zaidi.
wewe unasema hiyo ni mali ya watanzania? unawajua wamiliki wa kilombero sugar na mtibwa sugar wewe? hebu tutajie wamiliki wa hisa za viwanda hivyo. nikiona government of Tz ina hisa walau kadhaa basi nitaunga mkono ombi lako. wamejaa wahindi huko ndugu yangu. tena hela ya kuendeshea kiwanda waliiba toka kwetu wananchi.KWANINI? turuhusu ishindane na ya nje?why? tusiipe upendeleo maalum "mali yetu ya kitanzania"pia zipo sababu inabidi zifanywe na GOV'T za makusudi kunusuru "VIWANDA VYETU VYA NDANI"
UMILIKI WA KILOMBERO UPO HIVI:~Illovo 75%wewe unasema hiyo ni mali ya watanzania? unawajua wamiliki wa kilombero sugar na mtibwa sugar wewe? hebu tutajie wamiliki wa hisa za viwanda hivyo. nikiona government of Tz ina hisa walau kadhaa basi nitaunga mkono ombi lako. wamejaa wahindi huko ndugu yangu. tena hela ya kuendeshea kiwanda waliiba toka kwetu wananchi.
if that is the case, then the government is dumb for not protecting its sugar factory. nakuunga mkono.UMILIKI WA KILOMBERO UPO HIVI:~Illovo 75%
Gov't of tz 25% /na hata kama utabinafishisha kwa 100%,kwanini nchi imuumize mwakezaji wake wa ndani?
Huwajui wabongo wewe,utanunua sukari kg kwa sh 5000 sasa hivi.KWANINI? turuhusu ishindane na ya nje?why? tusiipe upendeleo maalum "mali yetu ya kitanzania"pia zipo sababu inabidi zifanywe na GOV'T za makusudi kunusuru "VIWANDA VYETU VYA NDANI"
Ajabu na kweli, sukari ya Tanzania ni bei mbaya kuliko ya Thailand
Wachangiaji wengi kwenye huu Uzi inaonyesha hakufanya a little bit of investigation kuhusu hz claims...
Mahitaji ya sukari hapa nchini n tani 420, 000 na uwezo wa viwanda vyetu vyote n tan 320,000 so kuna makubaliano kat gvt na wenye viwanda hzo tan 100,000 ziagizwe kutoka nje...but sukar inayoingia n zaid ya hyo na hazilipiwi kod. N kma kamxhongo fulan ka wafanya biashara wakubwa na baadh ya viongoz kuendelaea kufaidka name hz deal. Hatukatai competition but it should be fair to all.