Govt: No Foreign Terrorists in Ukerewe

Salvatory Naruyanga, umefanya jambo jema kuliweka wazi suala ili.

Gazeti la Mtanzania limetangaza vita na Waislam waulize Majira sasa hivi lipo wapi.
 
we nin na dini yako ilyopanda meli..jitu jeusii kazi kushadadia dini za weupe dini yenyewe umeletewa..mtaje Paulo coz ndo aliyokuletea dini yako hiyo cyo unamsingizia Yesu
Eti dini inapanda meli? Vipi ile nyingine jamaa walipiga mbizi?
 
Haya magazeti ya akina bashe sio ya kusoma kama ya udaku tuu.
 
Salvatory Naruyanga, umefanya jambo jema kuliweka wazi suala ili.

Gazeti la Mtanzania limetangaza vita na Waislam waulize Majira sasa hivi lipo wapi.
mlilipiga kafara?!
 
Kwani MHARIRI MKUU wa Mtanzania ni nani? Si Absalom Kibanda aliyekuwa Tanzania Daima? Ameamua kwashughulikia CDM au?
 
Fikra pevu zinaitajika katika kulijadili suala hili .hivyo hatuna budi kutotanguliza mihemko ya kishabiki au kidini..ni maoni
 
Salvatory Naruyanga, umefanya jambo jema kuliweka wazi suala ili.

Gazeti la Mtanzania limetangaza vita na Waislam waulize Majira sasa hivi lipo wapi.

Nani, Rostam?
 
Jf kuna udini balaa, mbunge wa ukerewe CDM, Mkuu wa Polisi mwanza na RC mwanza wote wakristo wanapinga kwamba wamesema chuo hiki ni cha kigaidi kwa nini wadau hapa Jf wanawapinga?
 
Hii habari naamini inahusika na kilichompata Kibanda jana usiku...
 
Sakata hili liliishia wapi? Nasikia wanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…