Habari wakuu!
Kutokana na tetesi zilizokuwa zimesambazwa na gazeti la Mtanzani toleo la tarehe 13.02.2013 na tarehe 20 mwezi huu imethibitika Aljazeera Islamic Centre kilichopo Nansio kwenye kisiwa cha Ukerewe hakijishughulishi na ugaidi. Gazeti la Mtanzania liliandika upotoshaji kwamba chuo hicho kilichojengwa kwa hisani ya nchi za kiarabu kinatoa mafunzo ya kushambuliana kwa silaha aina ya jambia.
Pia gazeti liliandika kuwa chuo hicho kina ushirika na Alqueda na Al shabaab wanashiriki ugaidi. Mwenyekiti wa chuo hicho,Sheikh Ramadhan Salum Mazige ambaye pia ni diwani wa Nansio (CCM) amekanusha vikali habari hizo na kulitaka gazeti likanushe haraka kwani ni uchonganishi wa wazi.
Pia mmoja kati ya waanzilishi Mzee Jabil Katula amesema chuo hicho hakitoa mafunzo ya kigaidi na sheria zote zilifuatwa katika kuanzishwa kwake, serikali pia inatambua na DC na RC kwa miaka tofauti wamehudhuria mahafali...
(Source:Radio Times Fm)

Gazeti hili ni la kikafiri unategemea nini? Tutafika pahali hata haya magazeti yanayofadhiliwa na dini nyengine kama Tanzania daima hatutonunua tena.
Habari wakuu!
Kutokana na tetesi zilizokuwa zimesambazwa na gazeti la Mtanzani toleo la tarehe 13.02.2013 na tarehe 20 mwezi huu imethibitika Aljazeera Islamic Centre kilichopo Nansio kwenye kisiwa cha Ukerewe hakijishughulishi na ugaidi. Gazeti la Mtanzania liliandika upotoshaji kwamba chuo hicho kilichojengwa kwa hisani ya nchi za kiarabu kinatoa mafunzo ya kushambuliana kwa silaha aina ya jambia.
Pia gazeti liliandika kuwa chuo hicho kina ushirika na Alqueda na Al shabaab wanashiriki ugaidi. Mwenyekiti wa chuo hicho,Sheikh Ramadhan Salum Mazige ambaye pia ni diwani wa Nansio (CCM) amekanusha vikali habari hizo na kulitaka gazeti likanushe haraka kwani ni uchonganishi wa wazi.
Pia mmoja kati ya waanzilishi Mzee Jabil Katula amesema chuo hicho hakitoa mafunzo ya kigaidi na sheria zote zilifuatwa katika kuanzishwa kwake, serikali pia inatambua na DC na RC kwa miaka tofauti wamehudhuria mahafali...
(Source:Radio Times Fm)
Ukweli TUNAPASWA KUMPOKEA YESU SISI WOTE. ILI TUWEZE KUOKOKA. YESU NI MWANA WA MUNGU. MUNGU ALIMTOA MWANA WAKE WA PEKEE YESU KRISTO ILI TUWEZE KUOKOKA NA KUINGIA KWENYE UFALME WAKE. USIPO MPOKEA YESU UTABAKI KWENYE UFALME WA SHETANI NA MWISHO WAKE NI MBAYA SANA. MSIBISHE WALA MSIDHIHAKI. UKWELI SOMA HAPO CHINI NA BADILIKA.Gazeti hili ni la kikafiri unategemea nini? Tutafika pahali hata haya magazeti yanayofadhiliwa na dini nyengine kama Tanzania daima hatutonunua tena.
Atuhumiwe yeye na asasi yake, ajipeleleze mwenyewe, na akanushe mwenyewe! Hivi ni nini kazi ya hawa wachovu "Usalama wa Taifa" au TISS?
Mbona nchi inazidi kuwa si salama Kila kukicha? Kuna umuhimu wa kuwa na asasi hii tena?
Crucial Man said:Mods nawashauri mtenganishe uzi huu na ile habari ya Nahodha aliyoitoa bungeni kumjibu Mbunge Machemli kwani havihusiani na habari ya Aljazeera Muslim Centre.Hiyo ya Daily News ilihusu askari wa nchi mbalimbali waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi na kutuhumiwa kuwanyanyasa raia.Lakini lengo la thread ilikuwa ni ile habari iliyoandikwa na Mtanzania ambayo ndiyo ingefaa kuunganishwa na uzi huu kwani ile iliyotolewa na Mhe.Nahodha ilishaeleweka.Nadhani nimeeleweka ikizingatiwa kwamba lengo ni ku create verification na kuanika ukweli wa jambo husika.Ili manung'uniko kwamba JF pia kuna udini ingefaa thread ingebaki ilivyokuwa maana hilo tamko la serikali lilikwishajadiliwa,sasa tunajadili taarifa ya viongozi wa dini husika na namna ya kupata ukweli.
Atuhumiwe yeye na asasi yake, ajipeleleze mwenyewe, na akanushe mwenyewe! Hivi ni nini kazi ya hawa wachovu "Usalama wa Taifa" au TISS?
Mbona nchi inazidi kuwa si salama Kila kukicha? Kuna umuhimu wa kuwa na asasi hii tena?
Ukweli TUNAPASWA KUMPOKEA YESU SISI WOTE. ILI TUWEZE KUOKOKA. YESU NI MWANA WA MUNGU. MUNGU ALIMTOA MWANA WAKE WA PEKEE YESU KRISTO ILI TUWEZE KUOKOKA NA KUINGIA KWENYE UFALME WAKE. USIPO MPOKEA YESU UTABAKI KWENYE UFALME WA SHETANI NA MWISHO WAKE NI MBAYA SANA. MSIBISHE WALA MSIDHIHAKI. UKWELI SOMA HAPO CHINI NA BADILIKA.
Anajiita Sheikh wa wilaya, kachanganya uchawi wa kienyeji na ule wa kidini (majini), sasa hata ule uchawi wa mzungu (money) pia unashika kasi, ni noma eti!Sioni ajabu kwa mh Diwani Ramso kukanusha, kwasababu pale Nansio yeye nisawa na Mungu mtu....
Hayo maswali yako yakijibiwa tu chuo kinafungwa!Hata mimi nisingekubali, sijui kama hata wewe ungekubali kuambiwa unatoa mafunzo ya kigaidi wakati unafahamu fika ni kinyume na sheria ya nchi. Lakini mleta thread umesema
M/kiti ambaye ni shekhe amekanusha kuwepo kwa mafunzo ya kigaidi katika chuo hicho na serikali inafahamu, sawa. Tuambie chuo kinatoa mafunzo gani, kwa makundi gani na kwa makusudi gani? Watanzania wote wanaweza kunufaika na hicho chuo?