Govt nationalises illegally imported sugar from Kenya

Namanga imekuwa porous sana...!?

Wafanyabiashara wa Tanzania wananiachaga hoi sana...
eti mtu anaingiza vitunguu kutoka Kenya wakati ukienda Mang'ola kuna vitunguu kibao na wakenya kibao wananunua vitunguu kupeleka kenya.
 
Kuna wafanyabiashara wapumbavu kweli ati una-import vifaranga kutoka nchi ya njaa kuleta ya maziwa na asali! Tia kiberiti vyote kumanina..
 
Sukari kutoka Kenya? yaani bongo tutumie sukari kutoka Kenya??? Mimi ninachojua sukari yetu yenye ubora ndio huwa inatoroshwa mipakani kuelekea kenya sasa hii mnayosema inatoka Kenye ni ya ana gani? na huo uhaba umetoka wapi?? ninyi wafanya biashara ninyi acheni uroho wa hela msije mkatuuzia UREA ama CHUNVI mkatuambia ni sukari?
 
Halafu kina jinsi ya ufungaji wa mabox ya mizigo kutoka Kenya huwa unanipa mashaka sana...iko siku kitanuka tu!
 
The Kenyan seller probably pocked his money from the sugar sales long before the Namanga saga. Kaa hapo ukishangilia,pengine ni mfanyibiashara Mtanzania amebanwa na mali yake kutaifishwa!
So? We should let vifaranga viingie bila kodi! FYI the guy that imported mirungi will go to jail..
 
So? We should let vifaranga viingie bila kodi! FYI the guy that imported mirungi will go to jail..

Fungeni yeye na mkataze Watz wasikule mirungi kutoka Kenya.
Do you think a Kenyan trader will be so naive to release goods without upfront payment? It's your traders being frustrated by having paid yet goods confiscated. Hasara kwenu
 
huyu mod ni umbwa koko,wewe malaya unatusi na hupigwi ban **** wewe
Hawezi pigwa ban kwa kuwa ni mtanzania... Ubaguzi ni wa aina mingi kama vile Rangi, dini, kabila, tamaduni na hata Nchi... I know the moderators are all Tanzanians and of course they naturally tend to lean towards their abusive mates turning a blind eye on anything malicious directed towards Kenyans but liwe liwalo hapa JF is Kenyans will always rule and set standards for Danganyikans to follow.
 
Fungeni yeye na mkataze Watz wasikule mirungi kutoka Kenya.
Do you think a Kenyan trader will be so naive to release goods without upfront payment? It's your traders being frustrated by having paid yet goods confiscated. Hasara kwenu
Of course the aim is to discourage that ubuyu business all the stuff mentioned r available in TZ while Khat is a banned substance. Right now the idiots that imported the stuffs will probably have no means to do so again so one less illegal customer for Kenya! And love that to the bottom of my heart.
 
Hawezi pigwa ban kwa kuwa ni mtanzania... Ubaguzi ni wa aina mingi kama vile Rangi, dini, kabila, tamaduni na hata Nchi... I know the moderators are all Tanzanians and of course they naturally tend to lean towards their abusive mates turning a blind eye on anything malicious directed towards Kenyans but liwe liwalo hapa JF is Kenyans will always rule and set standards for Danganyikans to follow.
Acha kutuambukiza tabia za kibaguzi, huku sisi ni civilized nation hatujui wala hatuna tabia za kibaguzi kama ninyi, kila kitu kwenu mnahusisha ubaguzi, ubongo wenu wote umeathirika kutokana na ukabila, hamuamini na wala hamuelewi kwamba duniani kuna nchi wanaishi na kufanya mambo bila kuwepo kwa chembechembe za ubaguzi, wajinga wakubwa ninyi, rudini huko kwenye forums zenu zilizojaa ukabila.
 
Back
Top Bottom