Ni wakati sasa kwa serekali na watendaji kuacha uvivu wa kufikiri, ni kwanini msijifunze Kenya wanafanyaje? wao wanataka kujenga uwanja wakimataifa Holili which is very near to KIA nyie badala ya kuja na mbinu mbadala mnafikiria kutafuta Mbia mwingine, kama huyo mliempa ameshindwa kwa miaka yote hiyo mnauhakika gani mnayemtafuta ataweza???ni vema basi mkawauzia hata serekali ya kenya ikauendesha,, badala ya kujenga huo wa Holili in the spirit of EAC,,,kati ya serekali ambazo maofisa wake ni wavivu kufikiri naona TZ mtakuwa mnaongoza,,,kila kukicha siasa,,,semeni mnataka kumpa Agakhan bure na si vinginevyo,,mnakeera saana,,