'Governator' leaves California

popiexo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
742
Reaction score
184
Arnold Schwarzenegger, most famous for his role in the Terminator movies, has been replaced by Jerry Brown as the governor of California.
As Schwarzenegger departs public office after seven years, the most populous state in the United States is left with a $28bn hole in its coffers.
Brown, a veteran Democrat who was governor of California in the 1970s and 80s, has pledged a tough budget to try and balance the books.
Al Jazeera's Rob Reynolds reports from Los Angeles.
 
Arnold Schwarzenegger alidhani siasa ni sawa na action movie, sasa ameachia madaraka akiwa amefedheheka sana tu, deni aliloliacha na matatizo ya hilo jimbo lake yote yamezidi kumtupa kabisa katika uwanja wa kisiasa.
N amkumbuka huyu jamaa aliwahi kumtolea maneno ya matusi na kejeli sana Obama kipindi kile cha kampeni.
 
Terminator terminated!
 
It was so obvious from the start that he was empty head
 
Mkuu heading hii inanipa matatizo kidogo....au mie lugha hii ndo inaniteleza?
 
 
Ana uraia wa kuzaliwa Austria na uraia wa kuasiliwa wa Marekani. Nathani angerudi kwao Austria akagombee urais, kwani marekani hawezi kugombea urais kwa vile si raia wa kuzaliwa. Kama anakikumbuka bado kijerumani mambo yatakuwa mswano akishatia mguu kule Austria.
Unajua alifikiri kazi ya utawala wa kisiasa ni sawa na ile aliyozoea ya umanju wa filamu, lakimi duh mambo mazito kwelikweli.
 
Iam pretty sure is still good with German, coz kizungu kakijua not more than 20years bac
 
Mkuu heading hii inanipa matatizo kidogo....au mie lugha hii ndo inaniteleza?

Mkuu hauko peke yako, mimi kiingereza ni lugha yangu ya 4. Nadhani ni kuna kasoro kwenye kichwa, mimi nimeelewa kuwa 'Governator anaondoka California' au 'govanator anaiacha California'. (literaly), labda alikuwa anamaa anaachia ugavana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…