PastorA
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 361
- 275
Hodi wana body, napenda kuwashirikisha jambo ambalo kwa siku hizi za karibuni zimeshika kasi sana, kumekuwa na mashaka katika jamii nyingi nchini juu ya ongezeko la VIFO vya GAFLA mfano mtu kufia usingizini,
Au kutokea kwa mtu kufa gafla bila kusumbuliwa na udhaifu wowote.
Kabla sijaendelea sana napenda kila mtu awaze Haya maswali
1.kwann mtu anazaliwa Duniani?
2. Kwann mtu anaishi Duniani?
3. Kwann watu wanakufa gafla?
4.Nini chanzo cha kifo cha gafla?
5. MTU ni nani?
Napenda kuanza na tafasiri ya swali namba 5. Ili tuwe na floo nzuri.
Kimsingi MTU ni roho yenye nafsi iliyo ndani ya nyumba na hyo nyumba ndio tunaiita MWILI, watu wengi wanazani roho ni kidude Fulani kilicho ndani ya mwili HAPANA. ROHO ndio mtu mwenyewe na inaweza kuwa ndani ya nyumba yake(mwili) au nje ya nyumba yake (mwili). 2wakorintho 12:2-
Mtu anapotoka nje ya nyumba yake ndio anaitwa amekufa na pia anaporudi ndani ya nyumba yake yaani mwili ndio anaitwa amefufuka, hivyo unaposikia mtu amekufa maana yake Roho ambayo ndio yy mwenyewe ametoka ndani yupo mahali alipoenda ama kuzimu au Mbinguni, hivyo ndio maana tunapoelekea kuzika watu tuna sema mwili wa marehemu utazikwa wapi,hii inaana marehemu mwenyewe Hayupo .
Hivyo mtu anaweza kuwa nje ya nyumba yake yaani mwili kwa kutolewa na sio kujitoa sasa mtu aweza kutolewa na mapepo au masheitwani lakini Mungu anatupenda sana mpaka Leo tu wazima
Ila ni vizuri kuwa na tahadhari kwa maana ibilisi anasababisha vifo kwa watu ambao hawafanyi ibada,maombi wala sala.
Na wenye kuendekeza uzinzi, uasherati,uoga, uchawi,Uongo,usengenyaji, unafiki,wizi,dhuluma,matukano, na mambo mengine yanayofanana na hayo. Kama unayafanya mambo Haya ACHA KABISA.
Kama una swali uliza nitaku
Jibu..