Wakuu kuna mtu nimempigia simu akasema anakimbilia mitaa ya Kariakoo au Msimbazi kuna gorofa linawaka moto hebu aliyeko karibu atujuze (live).
Majanga!!..ooh majangaa
Nyakati za laana hizi. Sijui tumemkosea nn Mungu!
Uliambiwa kuichagua nini ni janga?
Ni kweli kuna mpenzi wangu mmoja kwenye facebook kaniambia na mimi hivyo kwamba kuna moto kariakoo ila hajafunguka zaidi,ipo kama na yeye anakimbilia hiko kuangalia kama kuna majeruhi.:coffee:Wakuu kuna mtu nimempigia simu akasema anakimbilia mitaa ya Kariakoo au Msimbazi kuna gorofa linawaka moto hebu aliyeko karibu atujuze (live).
Uliambiwa kuichagua nini ni janga?
Ni kweli kuna mpenzi wangu mmoja kwenye facebook kaniambia na mimi hivyo kwamba kuna moto kariakoo ila hajafunguka zaidi,ipo kama na yeye anakimbilia hiko kuangalia kama kuna majeruhi.:coffee:
JF nayo huna mpenzi?[/QUOTES
sina kakangu,hapa mimi natoa ushauri na kupokea ushauri tuu. Kwani wewe unae??
Nyakati za laana hizi. Sijui tumemkosea nn Mungu!