gorgeous!!!!

Ni mzuri wa kusifika, ukizingatia, kajiwacha "natural", hana cha mkorogo wala nywele za maiti. Ndio hapo huwa najiuliza hawa dada zetu wanaojichubuwa (mkorogo) na kubandika nywele za maiti (mawigi) huwa hawajiamini kuwa ni warembo au wana matatizo ya akili?

Tazama mtoto huyu, ana watusi wote wenye kujikoroga.
 
woow woow woow - mpaka bolt yangu imedinda..
 
ukisikia natural beauty ndio hivi.
ngozi,nywele mpaka decorations.
 
sidhani kama hizo kope ni zake,SIDANGANYIKI.
 
mtoto natural si wa nywele za katani wala rangi ya kichina...
 
nishadata kwake..................tell me anapatkana wapy huyu kiumbe?
 

Nafikiri ukiangalia hiyo pic kwa makini utagundua kuwa kaongezea brownish usoni na vilevile ka-apply lipstick. Hivyo sijakubaliana nawe kuwa kajiacha natural.
Anglia pic kwa ustadi.
 
Kama sio digital image technicals ana ngozi ya asili muafrika no mkorogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…