kura za maoni za cdm kyela zilikwishafanyika na mh mwanyamaki ( mbunge mteule ) alishinda kwa kishindo , hazitarudiwa na tumemaliza kazi , sasa mwakalinga anaingiaje kwenye ubunge ? huyu katoka ccm kutokana na fitna za mwakyembe kuhujumu kyela fm , mwakyembe alikwisha mhujumu hata kipija ili afukuzwe umeya , anafahamika vizuri sana , sasa unapokuwa mwongo uwe na kumbukumbu , mimi nimewekeza kwenye siasa za kyela wanajf ni mashahidi , sikurupuki .